Hekaheka ya leo December 23 inatoka Dar es Salaam ambapo mwanamke mmoja alifiwa na mume wake na yakatokea matatizo ambapo ndugu wa marehemu walimtaka mama huyo akabidhi kila kitu ikiwemo nyumba waliyokuwa wakiishi maneneo ya Mbezi, Dar.
Kesi hiyo ilifika Polisi, kesi ya mirathi ikafunguliwa na suala hilo limekabidhiwa kwenye mikono ya kisheria hivyo bado halijafanyiwa maamuzi lakini mwanamke huyo bado anaishi kwenye nyumba ambayo ndugu wa marehemu walimtaka atoke.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook