Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso alisimama Bungeni May 9, 2018 kujibu hoja za baadhi ya Wabunge waliotoa mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo aliahidi kuwashugulikia wakandarasi wote wanaofanya kazi kimazoea hata kama ni watoto wa vigogo.
Agizo la Waziri mkuu Majaliwa baada ya kupanda kwa bei ya mafuta