Waziri wa Ardhi, Nyumbana na Maenedeleo ya Makazi William Lukuvi yupo Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, leo January 25, 2108 ameamua kuanzia ziara yake eneo la Polisi Kigoto Wilaya ya Ilemela kuwasikiliza Wananchi wa eneo hilo ambalo linasemekana Wananchi walivamia tangu mwaka 2016.
Akiongea baada ya kuwasikiliza wananchi Lukuvi amesema “Mimi nimetumwa tu na Rais Magufuli, nije niangalie niwasikilize juu ya huu mgogoro, ili serikali ifanye uamuzi, msije mkafikiri nina majibu, naondoka hapa nikijua kuna mahitaji ya watu na ya Polisi,”
BREAKING: RAIS MAGUFULI AMETENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI BUTIAMA