Spika Job Ndugai ameitaka Serikali ifanye kazi usiku na mchana ili kuhakikusha inatekeleza kwa haraka huduma ya afya kwa wote kabla ya kufikia kwenye uchanguzi ujao ikiwa ni sehemu moja wapo ya kumsaidia Rais Magufuli.
Spika Ndugai alilazimika kusimama kutoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa viti maalum CCM Kiteto Koshuma aliyehoji Serikali ni lini italeta sheria ya kuwataka wananchi wote kujiunga na mfuko wa taifa wa bima ya afya.
KUTANA NA TABIA ZA WANAWAKE WEUSI, MTAA UMEFUNGUKA