Baada ya kuitwa na kuhojiwa na TAKUKURU Mkoani Tabora aliyewahi kuwa Mbunge la Tabora Mjini Ismail Aden Rage kwa tuhuma za kuanza kampeni kabla ya muda AyoTV na millardayo.com imemtafuta Rage na kuzungumza nae.
Rage ambaye pia amewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba amesema ni kawaida kusikia taarifa kama hizo hasa tunapoelekea Uchaguzi Mkuu.