Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba kuna hatari kubwa kwa mtu mwenye hasira au msongo wa mawazo kupata shambulio la moyo endapo atafanya mazoezi makali. AyoTV na millardayo.com imempata mtaalamu wa afya Emmanuel Mgomo kwa ajili ya ufafanuzi………
>>>’msongo wa mawazo au stress zenyewe kama zenyewe zina uwezo wa kumsababishia mtu au kumweka mtu katika hatari ya kupata shambulio la moyo na mazoezi makali au kazi ngumu zina uwezo wa kumsababishia mtu kupata shambulio la moyo, tafiti imekuja kuonyesha kwamba mtu ambayo yuko katika msongo wa mawazo halafu akajihusisha na mazoezi makali au kazi ngumu anaweza kupata shambulio la moyo’
Unaweza kubonyeza play hapa chini kusikiliza
ULIKOSA HII YA KUWA HUTAKIWI KULA CHAKULA CHA USIKU SAA MBILI, MWISHO SAA KUMI NA MOJA JIONI? UNAWEZA BONYEZA PLAY HAPA CHINI