Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameongoza kura za maoni Jimbo la Siha, Kilimanjaro kwa kupata kura 148 amefuatiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri aliyepata kura 147.
Mwanri alistaafu Ukuu wa Mkoa wa Tabora na kurudi Jimbo la Siha na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge kupitia CCM.
Kwa matokeo haya Dkt. Mollel anaweza kuendelea kutetea kiti chake cha Ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2020,