Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki, movies na mengine.
#AMPLIFAYA #Aug20 #10 Matumizi ya Smart phones (simu za kisasa) Tanzania yameongezeka mara mbili ukilinganisha na mwaka 2013.
— millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #9 Meli ya MV Serengeti ya Bukoba-Mwanza via Ziwa Victoria ilielea majini kwa zaidi ya saa4 sababu ya hali mbaya ya hewa. — millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #8 Botswana ina masharti magumu kwa Wanywaji Pombe, Bar mwisho saa 4 usiku na Pombe ni bei ghali, Rais mwenyewe hanywi.
— millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 7 Rais Nkurunziza wa Burundi kaapishwa leo, BBC wanasema hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria. — millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #6 Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo amsifia Ali Kiba kwa uimbaji wake, ni baada ya kumuona kwenye stage weekend iliyopita Dsm.
— millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #5 Rais wa TFF @jamalmalinzi kathibitisha wachezaji watano Under 15 wanapelekwa Academy ya Orlando Pirates Afrika Kusini. — millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #4 Steve Nyerere asema ‘Tuna Jembe John Magufuli, hatuhitaji umaarufu wa mtu, kama ni kujaza watu hata Diamond anajaza’
— millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA Aug20 #3 ACT Wazalendo wamtangaza mgombea Urais2015 kuwa Anna Elisha ambaye ni mwenyekiti, ni baada ya @kitilam kutokuwa tayari. — millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA Aug20 #2 Polisi wameiona ile video ya waliovaa nguo za kijani kuzomewa, Kova anasema wanaanza kudili na wote wanaozomea vile.
— millard ayo (@millardayo) August 20, 2015
#AMPLIFAYA #Aug20 #1 Baada ya kuulizwa alipo Dr. Slaa, James Mbatia asema ‘UKAWA sio Mbatia, Lipumba au Mbowe, watu wanapita… tusijadili’ — millard ayo (@millardayo) August 20, 2015