Mbunge wa Jimbo la kwahani mkoa wa mjini Unguja ( Zanzibar ) Mhe Ahmada Yahya Shaa amefariki Dunia leo hii punde alipomaliza shughuli zake akiwa jimboni kwake kwahani
Diwani wa Jimbo hilo la kwahani ambae pia ni mwenyekiti wa manispa ya zanzibar Mohammed abdulla (Laki) ameiyambia Ayo tv zanzibar kua mbunge huyo alipata mstuko ghafla na kuwahishwa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja kwa matibabu na kufariki akiwa njiani kuelekea huko Majira ya Saa 7 kwenda Saa Mchana.
Tazama pia..