Leo January 26, 2018 Mkurugenzi wa Azam Media, Tido Mhando amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC.
Shuka chini kuangalia PICHA 15 alivyofikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuisababishia Taasisi hiyo hasara ya zaidi ya Shilingi milioni 800.
BREAKING: TIDO MHANDO ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO