Usafiri salama zaidi namba moja Duniani ni Usafiri wa anga, YES.. lakini kuna umuhimu pia kujua Wasafiri wa anga wanachukuliaji mazingira ya huduma za usafiri pamoja na viwanja vya Ndege !!
Ripoti imepatikana baada ya Utafiti kufanyika Mtandaoni, Wasafiri waliambiwa watoe maoni kuhusu Viwanja vya Ndege vilivyo na hali mbaya zaidi na vinatoa huduma ambazo haziridhishi.
Majibu ya Ripoti yamevitaja Viwanja vyenyewe, hapa nimekusogezea list ya Viwanja vyote kumi, Afrika kimetajwa kimoja.
1. Port Harcourt International Airport (Nigeria)
2. King Abdulaziz International Airport (Jeddah, Saudi Arabia)
3. Tribhuvan International Airport (Kathmandu, Nepal)
4. Tashkent International Airport (Uzbekistan)
5. Simon Bolivar International Airport (Caracas, Venezuela)
6. Toussaint Louverture International Airport (Port au Prince, Haiti)
7. Hamid Karzai International Airport (Kabul, Afghanistan)
8. Tan Son Nhat International Airport (Ho Chi Minh City, Vietnam)
9. Benazir Bhutto International Airport (Islamabad, Pakistan)
10. Beauvais-Tille International Airport (Paris, France)
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTERFB YOUTUBE.