Watu Sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum, kuacha njia na kupinduka katika eneo la Iguguno Ushamba lililoko Wilayani Mkalama Mkoani Singida, huku chanzo kikitajwa kuwa ni mwendokasi.
Kwa Taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.