Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wawili kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania na Noah katika eneo la Kibaigwa barabara kuu ya Dodoma – Morogoro
Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Julai 2, 2020 katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma.
RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MAKUBWA RC MWANRI ASTAAFU, GONDWE, ANDENGENYE WAGUSWA NA WENGINE