Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MTANZANIA Serikali imesema inaendesha msako mkali kuwabaini wafanyakazi waliohusika kupitisha makontena 100 bila kukaguliwa bandarini pic.twitter.com/oOX9EPrSYx
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MTANZANIA Matumaini ya kumpata mtanzania aliyewekwa rehani Pakstani akiwa hai yafifia huku serikali ikishindwa kutoa majibu ya hatima yake pic.twitter.com/mZ18hRrBOJ
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MTANZANIA Zaidi ya watu mil 1.6 hufariki dunia kila mwaka kutokana na ugonjwa wa homa za nimonia, mapafu, uti wa mgongo, maambukizi ya damu pic.twitter.com/LBR3sxOEPL
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MTANZANIA Watoto 728 waliokuwa wamezaliwa na magonjwa ya moyo wamefanyiwa upasuaji ktk taasisi ya tiba ya moyo ya Jakaya Kikwete 'JKCI' pic.twitter.com/bUTclChkCe
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MTANZANIA Imeelezwa kwamba ajali nyingi za barabarani zinazotokea nchini zinasababishwa na vijana wenye umri kati ya miaka 18 hadi 35 pic.twitter.com/4Gu05eOFKG
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#JamboLEO Kenya imetangaza sababu ya Tanzania kujitoa ktk mpango wa viza ya pamoja Afrika Mashariki kuwa ni kuhofia ushindani na nchi hiyo pic.twitter.com/M9tBDxlynY
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#NIPASHE Jeshi la polisi DSM imekamata 'panya road' 10 kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu ktk tamasha la Singeli lililofanyika DSM pic.twitter.com/jK2B8CvsNy
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#NIPASHE Serikali yawataka baadhi ya wafanyakazi TBS walioshirikiana na wenzao wa TRA kupitisha makontena 100 bila kukaguliwa kujisalimisha pic.twitter.com/5MhIlaT8vI
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#NIPASHE Makamu wa Rais, Samia Suluhu ametaja vikwazo Dodoma kuwa jiji kuwa ni pamoja na uharibifu wa mazingira, uzembe wa ukusanyaji mapato pic.twitter.com/hqo6q8Ko4U
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MWANANCHI Idara ya uchukuzi Marekani yapiga marufuku simu za Samsung Galaxy Note 7 kwenye ndege ni baada ya visa vya simu hizo kushika moto pic.twitter.com/QNfe0GrlbA
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MWANANCHI Aliyekuwa waziri wa elimu awamu ya tatu, Mungai apinga shutuma kuwa alishusha kiwango cha elimu, airushia lawama awamu iliyofuata pic.twitter.com/jOWwGAN39U
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa uchafuzi wa mazingira nchin umekuwa ukisababisha kati ya 50% hadi 80% ya magonjwa ya binadamu yanatokana na uchafu pic.twitter.com/ccEBhLUMZX
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#TanzaniaDAIMA TCRA imepiga marufuku watumiaji simu aina ya Samsung Galaxy Note 7 Edge kuingia nazo kwenye ndege zote nchini pic.twitter.com/GlL1H5s0AT
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#MAJIRA Wajawazito hospitali ya rufaa Simiyu wanadaiwa kwenda na dawa za kienyeji kwa siri zinazowapa uchungu haraka ili wajifungue mapema pic.twitter.com/DTBofVOyDr
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
#HabariLEO EWURA kutoa bei kikomo kwa gesi ya kupikia inayotokana na zao la mafuta ya petroli, utaratibu unaotarajia kuanza January Mwakani pic.twitter.com/5EKio9NdAv
— millardayo (@millardayo) October 17, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 17 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI