Uzuri mwingine wa haya majengo usikupite mtu wangu..Pichaz
Share
3 Min Read
SHARE
Moja ya vitu ambavyo nimekuwa nikivutiwa navyo ni nyumba nzuri..na kila wakati nimekuwa nikikuletea muonekano tofauti wa nyumba.
Leo tena nakusogezea tena hizi nyumba zilizonivutia kutokana na muonekano wake wa kipekee.
1. Bubble House – Tourettes-Sur-Loup, France
2. Toilet-Shaped House – Hili jengo lipo katika mji wa Suwon, Korea Kusini
3. Crooked House – Sopot, Poland
4. The Piano House –Ni jengo lililopo katika mji wa Anhui, China
5. Crystal Cathedral – Garden Grove, California
6. Palais Ideal du Facteur Cheval – Ni moja ya majengo ya Makumbusho lililopo Ufaransa, lilijengwa mwaka 1879
7. Crazy House – Moja ya jengo la makumbusho huko Vietnam
8. The Guggenheim –Moja ya majengo ya kuvutia huko Uhispania
9. The Chrysler Building – New York
10 St. Mary Axe – London, hili ni moja ya majengo yaliyopo katikati ya jiji la London ambapo kuna ofisi za watu, lilijengwa kwa mfano wa tango
11. Kingdom Tower – Ni jengo lililopo katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia, ni miongoni mwa majengo marefu duniani, lilijengwa kwa gharama ya dola bilioni 1.2
12. Museum of Islamic Art – Doha, Qatar
13. Cathedral of our Lady of Aparecida – Hili ni jengo la kanisa ambalo lipo Brazil, lilijengwa miaka ya 1946 hadi 1980, hupokea watalii milioni 10 kila mwaka, huchukua watu zaidi ya 70,000 na lina ukubwa wa mita 12,000
14. Tiger’s Nest Monastery-Hii ni nyumba ya makumbusho ambayo ipo katika mji wa Bhutan, India.
15. Bart Prince House – Albuquerque, New Mexico
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER,FB, YOUTUBE