Amplifaya ni show inayosikika on Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku kikiwa na mkusanyiko wa habari kumi kubwa za siku zikiwemo siasa, muziki michezo na mengine.
#AMPLIFAYA #Jan292015 #10 ‘Polisi wa TZ wakiwashughulikia tu Upinzani wanapandishwa cheo mfano Kamuhanda, Zuberi’ – Mbunge Joshua Nasary
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #9 ‘Waziri Chikawe kama hawezi kuwajibika awajibishwe kama tulivyowawajibisha wale Majizi wa ESCROW’ – Tundu Lissu — millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #8 Mwasiti ‘THT inaanza tulikua tunalala nje, tulianzia mbali lakini sasa mabadiliko yamekuja’ #THT #10years #Jan31
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #7 Watumiaji wa Internet 2008 walikua Milioni 2.7 Tanzania lakini wameongezeka mpaka Milioni 9 mwaka 2014 #RainDigital — millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #6 Serikali ya Kenya kuingilia kati bei ya unga wa Mahindi ishushwe baada ya Wenye viwanja kuendelea kulangua.
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #5 Polisi Kenya wamemkamata Mwanaume anaeshukiwa kuhusika kwenye mashambulizi ya kigaidi yaliyoua 64 mwaka jana. — millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #4 Bajeti ya kuzuia picha za ngono mitandaoni Uganda bado haijapitishwa, wanataka kununua mashine kuzuia nchi nzima.
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #4 Bajeti ya kuzuia picha za ngono mitandaoni Uganda bado haijapitishwa, wanataka kununua mashine kuzuia nchi nzima. — millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #3 ‘Messi ni mchezaji hatari, hata Ronaldo akichanganywa na Bale na Benzema hawamfikii’ – Simeone wa Atletico Madrid
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #2 Mbunge Yahya Kassim Issa: ‘ Nina wasiwasi, inabidi hata Wabunge wapimwe akili, uwezo na hali yao ya uzima’ — millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
#AMPLIFAYA #Jan292015 #1 Wafuasi 30 wa CUF waliofikishwa mahakamani kisa vurugu za Jan27 TMK wakosa dhamana kwa kushindwa kutimiza masharti.
— millardayo.com (@millardayo) January 29, 2015
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook