Amplifaya ni show ya Radio ambayo huwa inasikika kupitia CloudsFM Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa tatu na inakua na habari kumi kubwa za siku ambapo za Jumatatu June 29 2015 ndio hizi.
#AMPLIFAYA #June292015 #10 Ni chama kimoja tu cha Upinzani Burundi kilichoshiriki uchaguzi wa Ubunge, vingine 41 vimegoma kushiriki.
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #9 Mjumbe wa NEC Asha Baraka >>> ‘Wasanii wajitokeze Ubunge viti maalum kama Wema, nafasi zipo kwa Wasanii wa kike’ — millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #8 Utafiti unaonyesha katika Wakenya watano kuna watatu wanaugua ugonjwa wa Kisukari bila wenyewe kujua – Radio JAMBO
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #7 Wanasoka Shaban Kado na Nizar Khalfan wanusurika kifo ktk ajali ya gari Dodoma, ilichomoka tairi, wamejeruhiwa tu. — millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #6 Serikali yakiri na kukitambua kituo cha vipaji THT, yaahidi kukaa nacho na kuona jinsi gani ya kukisaidia zaidi.
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June29 #5 Wizara ya Afya: ‘Mjamzito kunywa Pombe, Bangi, sigara na Mirungi ina madhara, Mtoto anazaliwa na mtindio wa Ubongo’ — millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June29 #4 Mbunge Godbless Lema asema atagombea tena >>> ‘Sioni wa kushindana nami Arusha mjini, wanaojaribu wanamchokoza Mungu’
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #3 Nchi ya Ghana kulileta sokoni Gari lake la kwanza kulitengeneza.. Taa, Vioo na Matairi tu ndio hawatengenezi. — millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June292015 #2 Prof. Lipumba >> ‘Wagombea wa UKAWA lazima waungwe mkono na UKAWA, nitagombea Urais ikiwa UKAWA wataniunga mkono’
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015
#AMPLIFAYA #June29 #1 Serikali: ‘Nchi haitosimama, sio kweli Mafuta hayatouzwa TZ ktk siku mbili, HAIWEZI KUTOKEA.. tunaifatilia hiyo msg’
— millard ayo (@millardayo) June 29, 2015