Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki, movies na mengine.
#AMPLIFAYA #March172015 #10 Gavana Kideru wa Nairobi leo amelazimika kuliacha gari na kutembea kwa miguu baada ya foleni kuzidi.
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #9 Meninah asema katika watu maarufu ambao angependa kuona wanamaliza ugomvi ni Wema na Kajala. @MeninahLaDiva — millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #8 Bracket wa Nigeria wasema hawaoni umuhimu Wasanii Afrika kulipia kolabo na Wamarekani labda kama zitarudisha pesa
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #7 TFF >>> ‘Mwili wa marehemu kocha Marsh ulisafirishwa kwa gari mpaka Mwanza sababu Ndege hazikubali kubeba Jeneza’ — millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #6 @FidQ amepewa tuzo ya ubingwa na Umoja wa Ulaya 2015, kutokana na kutenga muda wake kusaidiana na jamii Tanzania.
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March17 #5 Nay wa Mitego ‘Sina ugomvi na mzazi mwenzangu ila ni kweli nimemchukua mtoto wangu (3months) atalelewa na mama yangu’ — millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March17 #4 Mfungwa aliejaribu kutoroka Mahakamani Kenya leo apigwa risasi ya mguu na mkononi, hawakuwa na lengo la kumuua.
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #3 Mdogo wake Jose Chameleone, msanii AK47 amefariki dunia akiwa na miaka 25, inadaiwa aliteleza kwenye bafu la baa. — millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March17 #2 Kocha wa bondia Francis Cheka amethibitisha, Cheka ameachiwa toka Gerezani Morogoro leo, atatumikia kifungo cha nje.
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015
#AMPLIFAYA #March172015 #1 ‘Ofisi ya Bunge haijapata barua ya Chadema kumfuta/kumzuia Zitto kuhudhuria vikao vya bunge’ – Spika Makinda.
— millardayo.com (@millardayo) March 17, 2015