Siku chache baada ya Supermarket za NAKUMATT kufungwa kwenye maeneo mbalimbali nchini, waliokuwa wafanyakazi wa Supermarket hizo January 15 2018 wamefika kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ili kufikisha malalamiko yao ya kukosa mishahara kwa takribani miezi mitatu lakini hawakufanikiwa kukutana na RC Makonda.
Wakiwa nje ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wamezungumza na millardayo.com na AyoTV kuhusu malalamiko yao.
KAMPUNI YAJIFUNGIA KUCHAPISHA GAZETI KWA MIEZI MITATU NA KUOMBA MSAMAHA KWA JPM NA KAGAME