Zaidi ya theluthi moja ya majengo yote au miundo 88,868, imeharibiwa katika Ukanda wa Gaza, kulingana na tathmini ya Kituo cha Satellite cha Umoja wa Mataifa (UNOSAT).
UNOSAT ilisema ilikusanya picha za satelaiti zenye mwonekano wa hali ya juu mwezi uliopita na imetumia hii kubainisha kuwa karibu miundo 20,000 zaidi ilikuwa imeharibiwa tangu tathmini ya mwisho mnamo Januari.
Kwa jumla, 35% ya majengo yote yameharibiwa, karibu 32,000 yametambuliwa kama yameharibiwa, na mengine 16,908 yameharibiwa vibaya, iliongeza.
TAZAMA PIA…