Kutoka kwenye Amplifaya ya Clouds FM leo June 20, 2017 ni muendelezo wa countdown ya story kubwa 10 za siku kutoka kwenye Siasa, Michezo, Utamaduni, Uchumi, Jamii na nyanja nyinginezo katika maisha ya kila siku.
Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza kupitia Radio kuanzia Saa 1:00 Usiku hadi Saa 3:00 Usiku millardayo.com imekukusanyia na kukuwekea karibu zaidi.
#AmplifayaUPDATES Rais Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa DAWASA, Eng Mutalemwa kustaafu mwenyewe na kuwaachia vijana pic.twitter.com/qhH8SWEMFh
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmolifayaUPDATES TZ mtu anayepost picha za kudhalilisha anaweza kutozwa faini isiyopungua milioni tano au kifungo kisichopungua miezi 12
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Meya Jacob amesema viongozi wa CHADEMA walimtembelea kuangalia shughuli anazozifanya na hakuwa na nia ya maandamano pic.twitter.com/uAIXadUy0S
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Meya Boniface Jacob baada ya kuachiwa na polisi asema yote hayo yalitokea baada ya yeye kutembelewa na viongozi wa CHADEMA pic.twitter.com/RiWSYio3Y7
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Wanawake wanaobeba ujauzito wa wengine Kenya wanalipwa Tsh 600,000 kwa mwezi kabla ya malipo yenyewe baada ya kujifungua
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Moto umeteketeza nyumba 12 Muleba Kagera mchana, haijulikani chanzo cha moto huo, matukio yamekuwa yakifuatana tangu May 4
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES "Kweli Maromboso amechukuliwa WCB, tuliruhusu kwa kuwa mtu anaenda kufanya kazi, pale kwetu sisi tunakuza vipaji-Mh. Temba pic.twitter.com/orlPUhrVP1
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Bodi ya utalii imesema watu maarufu wanaokuja nchini ni kwa safari zao binafsi, ishu ya kujitangaza inategemea utayari wao pic.twitter.com/updvsfDmWQ
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES "Mtu anasema hapana kwa bajeti ambayo ina mshahara wake halafu anazunguka kupokea mshahara wa alichosema hapana"-Ndugai pic.twitter.com/XfeBljsAhl
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES "Nawashangaa mawaziri, mtu anakataa bajeti machoni kwenu, kesho anakuja anafanya mpango kwako unampa mradi"-Spika Ndugai pic.twitter.com/qmCDrn3tFt
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
#AmplifayaUPDATES Jiji la Luanda Angola limeshika namba moja katika miji duniani ambayo ni gharama zaidi kuishi pic.twitter.com/XX3pqmzw7e
— millardayo (@millardayo) June 21, 2017
CUF kuhusu Bodi mpya ya Wadhamini inayotambuliwa na Msajili!!!!