Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo amelazimika kuihamisha mitambo ya ukusanyaji wa taka iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma kwenda Jijiji Dodoma kutokana na Viongozi wa Manispaa hiyo kuitumia kinyume na maelekezo ya Serikali.
Hatua hiyo ni baada ya Waziri Jafo kutembelea eneo la mradi wa ujenzi wa dampo la kuhifadhia taka lililipo Kijiji cha Msimba nje kidogo ya Mji wa Kigoma ambapo amebaini dosari kadhaa katika mradi huo unaofadhiriwa na Benki ya Dunia.
Miaka mitano Msikiti unajengwa haujakamilika, Ndele Mwaselela ajitokeza