Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amekutana na Viongozi wakiwemo Mawaziri wa Maji kwa ajili ya kuzungumzia suala la maji taka katika nchi za Afrika ambapo pia amezungumzia mradi wa maji wa Bilioni 520 unaoendelea Arusha ambapo amesema utakapokamilika utakuwa utawasaidia wananchi wa Arusha.