Serikali ilitangaza kwamba wanaotumia namba binafsi za magari kote Tanzania watatakiwa kulipa shilingi milioni 10 kwa kipindi cha miaka tatu ikiwa ni ada mpya na sio milioni tano kama ilivyokuwa awali.
Wakati ada hiyo mpya ikianza kufanya kazi, meneja wa TRA Arusha April Mbaruku amesema idadi ya magari yenye namba binafsi kwenye mkoa huo ambayo yalilipiwa kipindi cha ada ya milioni tano ni sita tu na hakuna gari lolote lililolipiwa ada mpya ya milioni kumi.
ULIKOSA HII YA DIAMOND KUHUSU KUPANDA KWA ADA YA NAMBA BINAFSI ZA MAGARI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI