Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesema Serikali inapata hasara kubwa kila mwaka kutokana na gharama za kuingiza mafuta ya kula kutoka nje ya nchi ikiwa ni zaidi ya dola 240 kwa mwaka wakati ilikuwa na uwezo wa kuzalisha mafuta yake ndani.
“Nataka niwaambiwa Wabunge kwamba kwa mwaka tunatumia dola 240 kuingiza mafuta ya kula katika nchi yetu, lakini tunahitaji shilingi ngapi kuondoa hili tatizo? Ili tuepukane na tatizo hili tunahitaji Dola za kimarekani Milion 45 ili tuweze kulima michekichi ya kuzalisha mafuta”
“Jamani Magufuli ataimba na ndio maana kila siku anabadilisha sheria huko IKULU inakuwa kama yeye yupo mbingu ya saba wengine tupo kwenye ardhi, tatizo ni nini? ” –Hussein Bashe
Ubadhirifu BILIONI 92: JPM afanya mabadiliko Wizara TAMISEMI