Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo July 10, 2017 imetokea Hospitali ya Amana ambapo mwanamke mmoja amedaiwa kugoma kutoka wodini baada ya kujifungua mtoto njiti na kuambiwa mtoto apelekwe Muhimbili kwenye huduma nzuri kwa watoto wa aina hiyo.
Inadaiwa sababu ya mzazi huyo kugoma kutoka Hospitalini hapo ni baada ya mtoto huyo kupelekwa Muhimbili kisha akaulizia utaratibu wa kwenda kumuona ambapo alipofika Muhimbili aliambiwa mtoto wake hayupo na aliporudi Amana aliambiwa mtoto alifariki siku ile aliyojifungua.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full Story
HEKA HEKA: Jirani adaiwa kumtumbukiza mtoto kwenye chemba ya choo