Top Stories Askari wamekaguliwa kama wapo tayari kwaajili uchaguzi mkuu (+picha) Published July 18, 2020 Share 1 Min Read SHARE Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, amewasili mkoani Iringa kwaajili ya ukaguzi wa utayari wa Askari mkoani humo katika hichi kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Mwenyekiti wa Karate Mkoa wa Iringa Hamidu akiwa katika mazoezi ya utayari na WP Yasinta wakimuonyesha Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, ambaye hayupo pichani wakati alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani humo. Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, aliesimama akiongea, Maafisa na Wakaguzi pamoja na Askari wa Mkoa wa Iringa baada ya kuwasili katika ukumbi wa Polisi Mess wa mkoani humo. BREAKING: RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO, ATEUA RC NA DC, OLE SENDEKA NA KATAMBI WAONDOLEWA TAGGED:TZA HABARI Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Magazeti LIVE! Membe rasmi mbio za Urais, Vigogo wachezea kamari nafasi zao Next Article Moto umeteketeza Shule ya Kinondoni Muslim “hakuna kilichobaki” (+video) Leave a comment Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment. - Advertisement - Latest News Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 19, 2024 Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 19, 2024 Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 18, 2024 Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 18, 2024