Miongoni mwa habari njema nilizozipokea kutoka kwenye tasnia ya muziki ni pamoja na hii ya staa wa Bongofleva Aslay kusaini mkataba na Kampuni kubwa ya muziki ya RockStar4000.
Aslay kwasasa atakuwa chini ya Mwamvuli wa Rockstar4000 hususani katika kazi zake za Muziki.
Stori kamil unaweza ukabonyeza play utazame namna alivyotambulishwa kama Mfalme katika lebo hiyo.