Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Magdalena Sakaya leo July 12, 2017 ametoa la kukemea vikali kinachodaiwa kuwa hujuma za CHADEMA zinazofanywa dhidi ya CUF ili kukiua chama hicho.
Akizungumza katika Ofisi za CUF Makao Makuu Buguruni, Sakaya amesema:>>>”Chadema wamekuwa na vikao kadhaa na mkakati wa kuhakikisha wanaifuta CUF upande wa Bara, miongoni kwa mipango hiyo ni kuvamia Ofisi pamoja na kuratibu na kukusanya vijana wa kihuni.” – Magdalena Sakaya.
Ulipofikia urejeshwaji wa fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu!!!