Jioni ya August 5 2016 kiungo wa klabu ya Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Himid Mao, zilienea taarifa kuwa amekamatwa na jeshi la polisi na kuwekwa rumande kwa kosa la kutuhumiwa kumpiga askari wa usalama barabarani (trafiki) millardayo.com ilimtafuta Himid Mao
“Mimi kwa sasa najiandaa kwenda kwenye mechi siwezi kuongelea kuhusiana na hizo habari, watu wameamua kuandika wanavyotaka wao kuwa nipo rumande lakini mimi nipo nyumbani ndio maana tunaongea sasa hivi kwa simu, nacheza mechi kwanza halafu ndio nitatolea ufafanuzi hilo suala”
ALL GOALS: Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10 2016 (Full Time 2-1)
https://youtu.be/duzv5kA8Q-c