Mahakama Kuu kanda ya Arusha ilitoa maamuzi June 08 2016 kwa Isaac Abakuk ambaye alishitakiwa kwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook ambapo mshitakiwa alitakiwa kulipa millioni 7 au kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani. June 17 2016 Ephata Nanyaro ni mmoja wa wanaharakati waliomchangia milioni 4.5 kwa ajili ya Isaac.
“Kutokana na makosa ya mtandaoni Isaac alihukumiwa miaka mitatu jela au faini ya milioni 7, hivyo sisi kupitia group letu la whatsapp na kuanza kuchangisha hela, hatimae leo tumempatia miliono 4.5 ili apeleke akalipe Mahakamani”
ULIKOSA KILICHOMCHEKESHA RAIS MAGUFULI JAPO ALIKUA KAVAA SURA YA KAZI IKULU? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE