Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema kuwa Australia itaipa Ukraine magari 30 ya kivita kama sehemu ya mpango mpya wa ulinzi.
“Asante! Kwa kifurushi kipya cha ulinzi chenye nguvu, kikiwemo Bushmasters 30,” Zelenskyy alisema katika taarifa baada ya mkutano wake na Waziri Mkuu wa Australia, Anthony Albanese.
Hii sio mara ya kwanza kwa nchi hiyokutoa isaada kwani iliwahikuahidi kuwa itatuma magari 70 ya ziada kwa Ukraine katika kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi cha dola milioni 74 huku Australia ikitajwa kuwa ni mojawapo ya wachangiaji wakubwa zaidi katika juhudi za Ukraine za kukomesha uvamizi wa Urusi.
Watch;MCHEPUKO WA MAMA ADAIWA KUMBAKA BINTI YAKE “WANAFANYA MAPENZI MLANGONI KWANGU, WANAPANGA KUNIUA”