Dangote ajenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Nigeria
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari Jumatatu alizindua kiwanda cha mafuta kinachodaiwa kuwa…
Baraza la WHO laidhinisha bajeti ya dola bilioni 6.83
Mataifa wanachama wa Shirika la Afya Ulimwenguni Jumatatu yaliidhinisha bajeti ya dola…
Rais wa Congo Aelekea China kwenye mazungumzo ya mkataba wa madini
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi atazuru China wiki…
Kelele za barabarani chanzo kuongezeka kwa hatari ya shinikizo la damu
Uchunguzi wa awali umegundua uhusiano kati ya kelele kubwa ya barabarani na…
Sehemu ambayo vitunguu ni ghali zaidi kuliko nyama
Katika maeneo mengi duniani vitunguu ni chakula kikuu huku nyama ikisemekana kuwa…
Uingereza kupiga marufuku wanafunzi wa kigeni kuleta familia zao
Katika msako mkubwa wa wahamiaji, Uingereza inatazamiwa kutangaza vizuizi vipya vya kupiga…
10 wafariki, 37 mahututi katika mlipuko wa kipindupindu Afrika Kusini
mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umeua takriban watu 10 katika jimbo lenye…
Beijing yaanzisha utaratibu wa kulipa nauli kwa alama ya kiganja cha mkono
Kuanzia sasa, abiria nchini China wataweza kulipia tiketi ya treni ya chini…
Winga wa Real Madrid,aitaja La Liga kama ‘ligi ya wabaguzi wa rangi’.
Winga wa Real Madrid, Vinicius Junior ameitaja ligi kuu soka nchini Hispania…
Mlipuko wa Kipindupindu waua 12 Afrika Kusini
Watu 12 wamefariki kwa ugonjwa wa kipindupindu na 95 wametembelea hospitali zenye…