Ripoti:Burkina Faso yashika nafasi ya pili,kuathiriwa na ugaidi duniani,Somali namba 3.
Ripoti inaeleza kuwa, vifo vingi vilivyosababishwa na matukio ya ugaidi vilisajiliwa mwaka…
Senegal:Upinzani washinikiza maandamano licha ya marufuku ya polisi.
Licha ya marufuku ya maandamanao nchini Senegal, muungano wa Upinzani nchini humo,…
VATICAN: Kanisa Katoliki kutuma ujumbe wa matumaini kwa Papa Francis kwenda mwezini.
Makao makuu ya kanisa katoliki kule Vatican, Italai wametangaza mpango wa kutuma…
Tennessee:Wito umetolewa juu ya udhibiti matumizi ya silaha na ufyatulianaji risasi,”kinachohitajika ni sheria”.
Ikulu ya White house imetoa wito juu ya kuongeza udhibiti wa bunduki…
“Watu wenye ulemavu wanapotea na kutengwa wakati majanga yanapotokea” mtetezi wa Umoja wa Mataifa.
Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema watu wengi wenye ulemavu wako hatarini…
Chad: Baada ya waasi, kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Chad awasamehe waandamanaji 259.
Mkuu wa utawala wa jeshi nchini Chad, Jenerali Mahamat Idriss Déby Itno…
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Kisumu wakati maandamano ya kuipinga…
Burkina Faso :Vyombo vya habari vya Ufaransa vyafungiwa, baada ya kufanya mahojiano na Al-Qaeda.
Kikosi tawala cha Burkina Faso kimesitisha matangazo yote ya vyombo vya habari…
INTISAF :Wastani, mtoto mmoja wa Yemen anafariki dunia kila baada ya dakika 10 katika vita,”sababu zinaweza kuzuilika”.
Mwaka wa 8 wa vita dhidi ya Yemen umemalizika huku takwimu zikionyesha…
Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.
Makamu wa Rais wa Marekani jana aliwasili nchini Ghana kuianza ziara taje…