Rais mpya wa Senegal amchagua mpinzani usmane Sonko kama waziri mkuu
Mwanasiasa wa mrengo wa kushoto Bassirou Diomaye Faye Jumanne amekuwa rais mdogo…
Takriban watu saba wamekufa na zaidi ya 700 kujeruhiwa baada ya tetemeko la ardhi Taiwan
Takriban watu saba wamekufa huku zaidi ya 700 kujeruhiwa Jumatano katika tetemeko…
Mahakama nchini Uganda kutoa uamuzi kuhusu sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Mahakama ya Kikatiba ya Uganda inatarajiwa kutoa uamuzi Jumatano juu ya ombi…
ZRA yapitiliza malengo yakusanya Billioni 559.485
Kamishna wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA) Yusuph Juma Mwenda amesema mamlaka ya…
Serikali yaombwa kuiongezea bajeti Tarura ili kutatua changamoto ya miundombinu kwa wakati
Serikali imeombwa kuongeza kiwango cha bajeti kwa ajili ya wakala wa barabara…
TANROADS yairejesha barabara iliyoharibiwa na mvua ndani ya saa 3 Ileje
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara (TANROADS) imechukua jitihada…
Rodrygo Goes agoma kuondoka Real Madrid licha ya uwepo wa Mbappe
Rodrygo Goes agoma kuondoka Real Madrid,licha taarifa za kuwasili kwa Kylian Mbappé…
Arsenal itashinda mechi zao zote 9 Ligi ya Premia ni maandalizi tu :Mikel Arteta
Mikel Arteta alisema Jumanne kwamba Arsenal wanaweza kushinda mechi zao zote tisa…
Vitu vyateketea kwa moto ndani ya nyumba Geita
Taharuki imetokea katika Mtaa wa 14 kambarage uliopo Mjini Geita Baada ya…
Kocha wa zamani wa viungo wa Simba SC Adel Zrane afariki dunia
Kocha wa zamani wa viungo wa Simba SC Adel Zrane Raia wa…