Kenya kuachilia miili ya kwanza ya mauaji ya kidini huko Shakahola kwa familia
Mamlaka nchini Kenya zinatarajiwa Jumanne kuachilia miili ya watu kadhaa wanaohusishwa na…
Mabilionea wajipanga kusaidia dhamana ya Trump katika kesi ya ulaghai wa fedha: Ripoti
Baadhi ya wafadhili wakuu wa chama cha Republican walikuwa wakifanya kazi pamoja…
Hamas yakataa pendekezo la kusitisha mapigano, ikiishutumu Israel kwa kupuuza matakwa yake ya msingi
Hamas imekataa pendekezo la hivi punde la kusitisha mapigano, ikiishutumu Israel kwa…
China yaita madai na shutuma za udukuzi Marekani na Uingereza ‘ujanja wa kisiasa’
China siku ya Jumanne ilizitaka Marekani na Uingereza kuacha kuingiza siasa katika…
Canada kujenga maabara yenye uwezo wa kutibu vimelea hatari zaidi duniani
Canada hivi karibuni itakuwa na maabara ya pili yenye uwezo wa kufanya…
Marekani inadai iliionya Urusi kabla ya tukio lililofanywa na ISIS
Marekani imeshikilia taarifa kuwa ina taarifa za kijasusi zinazothibitisha kuwa Islamic State…
Hamas iko tayari kwa usitishaji vita wa kudumu huko Gaza
Kundi la muqawama wa Palestina Hamas limesema limewaarifu wapatanishi kwamba litashikilia pendekezo…
Kituo cha televisheni chaajiri roboti kusoma habari zake Korea Kusini
Watangazaji na wasomaji wa habari wamekuwepo kwa muda mrefu sasa, lakini hivi…
Mchungaji (47) akamatwa kwa madai ya kuwalipa wanaume kumuua mpenzi wa binti yake
Samuel Davalos Pasillas, mchungaji wa California mwenye umri wa miaka 47, alikamatwa…
Rais wa mpito Mahamat Idriss Deby achaguliwa kugombea tena uchaguzi unaosubiriwa Chad
Mamlaka ya uchaguzi nchini Chad imewafuta wagombea 10 katika uchaguzi wa rais…