Mbunge wa Viti Maalum Taifa, Mariam Ditopile amekabidhi Kompyuta 10 zenye thamani ya Milioni tano kwa Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya zote za Mkoa wa Tanga sambamba na kuahidi kutoa mifuko 20 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Wilaya ya Korogwe.
Ditopile pia ametembelea Gereza la Korogwe na kukabidhi sabuni za kuogea na kiasi Shilingi Laki woja kwa wafungwa wa Gereza hilo.
#LIVE BUNGENI: SAMATTA NA BONGOZOZO WAPONGEZWA NA WAZIRI MKUU