Ayo TV na millardayo.com imetembelea soko la Buguruni Jijini Dar es salaam na kujionea bei alisi ya Vyakula katika soko la Buguruni msimu wa sikuku , Leo April 13, 2017, Wafanyabiashara wamezitaja bei za baadhi ya vyakula vinavyopatikana na kwenye soko hilo.
Ulimiss Tamko la waziri Makamba kuhusu bonde la mto Ruaha itazame hii video hapa chini.