Kulingana na mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 21, kwa sasa hajaolewa japo yupo kwenye utafutaji na anatarajia kupata mpenzi hivi karibuni.
Hitmaker huyo wa ‘Bloody Samaritan’ naye alikiri kuwa amevunja mioyo ya watu wachache ambao walikuwa wakimfuatilia na kutaka mahusiano na yeye
“I am not in love yet but [I will be] soon. I have broken a few hearts. Not on purpose, though. In case I’ve broken anybody’s heart, it has not been on purpose.”.
“Sijapenda bado lakini nitakuwa kwenye mahusiano hivi karibuni. Nimevunja mioyo michache. Si kwa makusudi, ingawa. Iwapo nimevunja moyo wa mtu yeyote, haikuwa kwa makusudi.”