Kila siku inavyopita ndivyo binadamu huongeza maarifa kwa kugundua na kuviboresha vitu mbalimbali katika Sayansi na Teknolojia ili kujijengea heshima na jina lakini kuna baadhi ya vifaa vya kiteknolojia ambavyo vimegunduliwa na wanasayansi mbalimbali duniani ambavyo vimeleta gumzo na kushangaza watu wengi.
Leo June 29, 2017 Kampuni ya Apple inaadhimisha miaka 10 tangu kutengenezwa kwa simu yake ya kwanza aina ya iPhone ikiuza zaidi ya simu 1b tangu June 29, 2007 simu 1b duniani kote.
Kampuni ya Apple leo inaadhimisha miaka 10 tangu kutengenezwa kwa simu yake ya kwanza aina ya iPhone 1st G, imeuza zaidi ya simu bilioni 1. pic.twitter.com/hBRXmFRTxn
— millardayo (@millardayo) June 29, 2017
FULL VIDEO: Mapokezi ya Rayvanny DSM baada ya kushinda BET!!!