Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ametembelea wavuvi mwalo wa Mihama Mwanza wanaofanya shughuli zao ndani ya Ziwa Victoria na kuahidi kutoa Tsh 100,000 kwa mtu yeyote atayetoa taarifa sahihi za nyavu na watu wanaojihusisha na uvuvi haramu.