Wasanii wa kundi la muziki la Shiikane wametua Tanzania May 25 kwa ajili ya kufanya Media Tour yao ya kwanza Afrika Mashariki, Shiikane ni Kundi la muziki linaloundwa na ndugu watatu kutoka familia moja Shay, Princess Annamay na Baby na wamekuwa maarufu zaidi ukanda wa Afrika Mashariki kupitia wimbo wao wa Oga Police.
Kikubwa kilichowaleta Shiikane nchini Tanzania ni kufanya Media Tour lakini pia kuna tetesi kuwa watafanya collabo na muimbaji Vanessa Mdee, Chin Bees na Navy Kenzo, kama hufahamu waimbaji hao wanaounda Kundi la Shiikane ni wanigeria wanaoshi London England, unaweza kubonyeza Play kuwaona walivyowasili Tanzania.
Billnass kazungumza ishu ya kumkana Baba yake kwenye wimbo