Leo Julai 7, 2023 Smba SC walitangaza kumsajili Mshambuliaji mpya Aubin Kramo (27) kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Kramo ambaye ni Raia wa Ivory Coast aliifungia Asec Mimosa goli nne katika michezo 10 ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita.
Sasa Mashabiki wamtaka Try Again kuleta viungo imara katika msimu huu wa 2023/24, unaweza ukabonyeza play kufahamu kile tulichokuandalia.