Ni June 6, 2023 ambapo Mhe. Hamis Taletale (Babu Tale) amechangia bajeti ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuipongeza Wizara hiyo kwa sababu michezo inachangia furaha ya nchi nzima ingawa inatia aibu kwa Wizara kuwa na bajeti ndogo kuliko Wizara zote.