Babu wa Loliondo, Ambilikile Mwasapile amesema ameoteshwa na MUNGU kutokea kwa tetemeko la pili tangu dunia kuumbwa na kuna baadhi ya Nchi zitahamishwa na kwenda kujiunga na Nchi nyingine.
Mwasapile anasema tetemeko hilo litatokea usiku na kudumu kwa Saa nne na halitakuwa na madhara bali litatenda mambo makubwa.
MTENDAJI APONZWA NA MILIONI 32, TAKUKURU WAMDAKA “AMEHUJUMU UCHUMI”