Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila kinachonifikia mtu wangu, najua kuna watu wako Dar es Salaam lakini wako busy na sio rahisi kila mtu akaona mazingira ya Bandarini kulivyo au maeneo kama ya Soko la Ferry au kwenye ufukwe wa Bahari kwa ujumla wake.
Najali pia watu wengine wa nguvu ambao wako mikoani au nje ya TZ, nao haawawezi kuona nini kinaendelea kwenye upande huu wa Jiji… ripota wa millardayo.com amenifikishia hizi pichaz 16, za jinsi Bandari ya Dar inavyoonekana pamoja na sehemu ya Bahari kwenye eneo hilo.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos