Hazijapita siku nyingi tangu Rais wa Marekani, Barack Obama atangaze kwamba anaanza rasmi kuisimamia mwenyewe account yake ya Twitter…. hiyo stori nakumbuka iligusa vichwa vya habari kwenye vyombo vikubwa vya habari Duniani katikati ya mwezi May 2015, unajua kwamba kumbe Rais Obama hakuwa anatumia Facebook kabisa !!
Saa chache zilizopita Rais Obama ametangaza kuanza kuutumia mtandao wa Facebook ambapo kautambulisha ukurasa wake anaotumia, na post ya kwanza aliyoweka ina ujumbe wake kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira.
Hello, Facebook! I finally got my very own page. I hope you’ll think of this as a place where we can have real conversations about the most important issues facing our country – a place where you can hear directly from me, and share your own thoughts and stories. (You can expect some just-for-fun stuff, too.)I’m kicking it off by inviting you to take a walk with me in my backyard – something I try to do at the end of the day before I head in for dinner. I say this often, but that’s because it’s always at the front of my mind: We’ve got to preserve this beautiful planet of ours for our kids and grandkids. And that means taking serious steps to address climate change once and for all. Now, we’ve made a lot of progress to cut carbon pollution here at home, and we’re leading the world to take action as well. But we’ve got to do more. In a few weeks, I’m heading to Paris to meet with world leaders about a global agreement to meet this challenge.I hope you’ll join me in speaking out on climate change and educating your friends about why this issue is so important. At a time when nearly three in four adults online use Facebook, this feels like a great place to do it. Share your thoughts in the comments, and pass this message on to folks you think need to see it.If we’re all in this together, I’m confident we can solve this and do right by future generations.
Posted by President Obama on Monday, November 9, 2015
Baada ya post hiyo, Boss wa Facebook , Mark Zuckerberg aliandika comment yake kwenye post hiyo kumpongeza kwa kujiunga na mtandao huo wa kijamii.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.