August 1 2016 Mwenyekiti wa bodi ya mahakama Tanzania Parole, Augustino Mrema alikutana na umoja wa madereva bodaboda Dar es salaam lengo likiwa ni kujua changamoto zao katika kazi ikiwa ni pamoja na kukamatwa mara kwa mara na Askari Polisikisha kupakaziwa kesi.
Baada ya kuzipata kero hizo, Mrema amewahakikishia ushirikiano wa kutosha ikiwa ni pamoja na kwenda kwa Rais John Pombe Magufuli kumwelezea matatizo hayo ili kuyamaliza.
Unaweza kumtazama hapa chini kwenye hii video..
ULIIKOSA HII YA DAKIKA 8 ZA MREMA KUHUSU RAIS MAGUFULI, UMRI WAKE NA KESI MAHAKAMANI