Wakati vikao vya bunge vikiendelea Dodoma huku ishu kubwa ikiwa ni kuijadili hotuba ya bajeti kuu ya serikali, June 10 2016 Naibu spika Tulia Ackson alionyesha kutopendezwa na kitendo cha Mbunge wa Momba David Silinde kukataa kutumia neno ‘mheshimiwa’ ikiwa ni moja ya kanuni za bunge zinavyotaka.
Hii ilitokea wakati kambi ya upinzani bungeni ilipokuwa ikiwasilisha maoni kuhusu hali ya uchumi wa taifa, mpango wa maendeleo na makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Kazi iliyofanywa na Mbunge wa Momba David Silinde.
ULIIKOSA HII? WABUNGE WAMECHEKA BAADA YA KANGI LUGOLA KUMTANIA WAZIRI MPANGO ETI ‘WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE