Bado naendelea kukuletea taarifa kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo tunaendelea kukuonesha maendeleo na mafanikio ya miradi mbalimbali ya Uboreshaji Miundombinu na Huduma kwa jamii inayotekelezwa katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Leo June 18, 2018 katika Kipindi chetu tutajionea utekelezaji wa mradi huu unavyoendelea katika Halmashauri ya Manispaa ya Moshi.